brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
*kikiiiiii*[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mwanamama mzazi mwenza wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi Sugu atangaza kutafuta mwanaume ili ampe ujauzito na hatimaye apate mtoto wa kiume kwa kuwa ana nguvu za kutosha za kulea
View attachment 406281
Haya sasa kazi kwenu ambao hamna mademu, toto limejitokeza hilo changamkia fursa kabla hajabadili mawazo
NB :hance mtanashati siyo mtu wa mchezo mchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda wasafi kuna vijana hawana majimama
Ukiachilia kuwa na miguu km ya Messi kenyew kako poa kabisa, acha niingie chimbo nione kama nitapata namba zake
Haaha haa ebu ngoja niemde fbMkuu, wala usijichoshe kutafuta namba yake.
Tumia Facebook tu, unamla kilainiii kama unanawa vile.
Huyu demu mabwana zake wote huwapatia fesibuku. Ila usiwe na face butu kama hiyo avatar yako.
-Kaveli-
Kama una inchi 4 kaa chonjoo...Haaha haa ebu ngoja niemde fb
Huyu dada anapenda kiki ingawa kiki hazimpendi