Faiza Ally: nahitaji mwanaume anipe ujauzito nipate mtoto wa kiume

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Mwanamama mzazi mwenza wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi Sugu atangaza kutafuta mwanaume ili ampe ujauzito na hatimaye apate mtoto wa kiume kwa kuwa ana nguvu za kutosha za kulea

1474740495119.jpg

Haya sasa kazi kwenu ambao hamna mademu, toto limejitokeza hilo changamkia fursa kabla hajabadili mawazo

NB :hance mtanashati siyo mtu wa mchezo mchezo
 
View attachment 406281

Haya sasa kazi kwenu ambao hamna mademu, toto limejitokeza hilo changamkia fursa kabla hajabadili mawazo

NB :hance mtanashati siyo mtu wa mchezo mchezo
*kikiiiiii*[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ukiachilia kuwa na miguu km ya Messi kenyew kako poa kabisa, acha niingie chimbo nione kama nitapata namba zake

Mkuu, wala usijichoshe kutafuta namba yake.

Tumia Facebook tu, unamla kilainiii kama unanawa vile.

Huyu demu mabwana zake wote huwapatia fesibuku. Ila usiwe na face butu kama hiyo avatar yako.

-Kaveli-
 
Haaha haa ebu ngoja niemde fb
 
Mie ningempa ofa hiyo.. Na malezi ningemsaidia lakin tatzo huyu dada afadhali ukapige mchomo kwenye pipa la gongo kuliko kuwa nae huyo, unaweza haribu career yako hiv hiv
 
Back
Top Bottom