kashafutaMama Li
Alipost afu akafuta?nimeingia insta sijaona kama kapost
ni ushamba wa hali ya juuhuyu faiza ana wivu khaaah!! mtu kasha move on na kashazaa na mwanaume mwingine mtoto wa pili lakin kila siku kazi kumuandama sugu!!
sugu alimpa nini huyu dada mbona kashindwa kabisa kumsahau!!
hata kama huyo dada alishawahi kuolewa kwani haruhusiwi kuolewa tena kama kashaachika!! wangapi walishaolewa/oa ndoa za kanisani wakaachika na kuolewa/kuoa tena bhana!
ni ushamba wa hali ya juu
Doziiiiii labda sugu alimpa dozi ya uhakikahuyu faiza ana wivu khaaah!! mtu kasha move on na kashazaa na mwanaume mwingine mtoto wa pili lakin kila siku kazi kumuandama sugu!!