lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
Miezi kadhaa Baada ya mashambulio makali kwa mzazi mwenzake juu ya malezi ya mtoto,mrembo asiekwisha matukio Bongo Faizza Ally, amemshambulia vikali mtandaoni Mke wa mbunge sugu(happiness msonga), sababu zikiwa ni kuhisi kutukanwa na accounts fake za Mke huyo wa mheshimiwa sugu. Tazama picha.