Dr Garangi
Senior Member
- Oct 3, 2017
- 120
- 121
Hawa wat
Labda mh alimtigoa,ivo ana miss ivo vitu,aliwah sema ilo pia.huyu faiza ana wivu khaaah!! mtu kasha move on na kashazaa na mwanaume mwingine mtoto wa pili lakin kila siku kazi kumuandama sugu!!
sugu alimpa nini huyu dada mbona kashindwa kabisa kumsahau!!
hata kama huyo dada alishawahi kuolewa kwani haruhusiwi kuolewa tena kama kashaachika!! wangapi walishaolewa/oa ndoa za kanisani wakaachika na kuolewa/kuoa tena bhana!