Faiza Ally: Sipo tayari kurudiana na ‘Sugu’ ila akihitaji mtoto mwingine nipo tayari ‘kumpatia’

Sasa mtoto huyo tu ilikuwa vurugu mpaka kupelekana mahakamani na kupokonyana mtoto na mjadala ukatua mpaka Bungeni, bado jamaa atake tena!!! Dunia ina mambo
 
namuonaga hamnazo lakini kwenye hili nimeona ana akili
 
Mbona anaongea kama kichaa Mara Yuko Tyr kuzaa nae mtoto wa pili kama Mr. II, Sugu akitaka wazae nae .
Mara anajutia kuliwa Achibobo yake bila Ndom na Sugu so which is which then.
 
Huyu mwanamke naye atakuwa matatizo siyo bure aisee
 
Hhahaha madhara ya wanawake wa Face book haya Sugu ana juta kabisa Teh Teh...
 
Mheshimiwa si alikuwa msanii na mpaka sasa bado yupo kwenye gemu? Huyo sister du nae si msanii? Hapa tutaumiza vichwa na akili zetu... mapenzi ya wasanii si mnayajua lkn???
 
Hivi huyu ndio anafanyia kazi Times eh!
Nilimsikia jana nachambua mambo ya siasa nilicheka sana.
 
Ina maana huyo mtoto atapatikana kwa uwezo wa Roho Mtakatifu au kwa kujamiana?Funguka maana ili mtoto apatikane mapenzi ni lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…