F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
hahaha nyama sili ila mchuzi wake nakunywa hahahaMtu huna hisia naye halafu huyo huyo uko tayari kuzaa naye?! Hii lugha gongana, mwambieni anyooshe maelezo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha nyama sili ila mchuzi wake nakunywa hahahaMtu huna hisia naye halafu huyo huyo uko tayari kuzaa naye?! Hii lugha gongana, mwambieni anyooshe maelezo tu
Wataishi pamoja?Mi huyu dada nmemuelewa na ukiangalia vizuri anamantic kwa alichokiongea,kasema hataki watoto wake wawe na mababa tofauti tofauti something which is good kwa malezi ya watoto pia.
Tena anageukia pembeni kabisaaa,ana waacha walengwa wanapeana rahaKwahiyo hamkiss.....nyie ni dyudyu tu.
Kwanza wewe unanipenda au mini?sasa ni kwamba anampenda ama ni nini
au nini......Kwanza wewe unanipenda au mini?
hahahaa hatari.....Tena anageukia pembeni kabisaaa,ana waacha walengwa wanapeana raha