Faiza Ally: Sipo tayari kurudiana na ‘Sugu’ ila akihitaji mtoto mwingine nipo tayari ‘kumpatia’

Mbona anaongea kama kichaa Mara Yuko Tyr kuzaa nae mtoto wa pili kama Mr. II, Sugu akitaka wazae nae .
Mara anajutia kuliwa Achibobo yake bila Ndom na Sugu so which is which then.
Sugu alimpendea huo ukichaa
 
Wasanii bana...huyo mmoja tu Sugu anakiona cha moto.

Ni sawa na mtu angemfuata Key twanga pale mbele akijibu swali na glasi ya vodka alafu anamuuliza "mzee unaongeza?"
 
kwaiyo huyo mtoto anatakayezaa nae sugu watatumia BLUETOOTH?
 
Kwa hiyo mtoto atapatikana kwa Bluetooth
 
Mi huyu dada nmemuelewa na ukiangalia vizuri anamantic kwa alichokiongea,kasema hataki watoto wake wawe na mababa tofauti tofauti something which is good kwa malezi ya watoto pia.
Kwa hiyo akija kuolewa huyo mme wake atakubali hiyo principle kwamba mke wake ni lazima azaage na sugu ili watoto wake wasiwe na mababa tofauti?

Hii kali aisee....au hana mpango wa kuolewa kabisa?
 
Hii kali yaani hata hotel hatujakamilisha anataka mtoto wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…