Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Sep 29, 2014 #1 Nimeona nisiongeze chumvi screenshoot hiyo hapo. Nb: Mods ingawa wahusika ni celebs ila topic ni ya mmu, msihamishe tafadhari.
Nimeona nisiongeze chumvi screenshoot hiyo hapo. Nb: Mods ingawa wahusika ni celebs ila topic ni ya mmu, msihamishe tafadhari.
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Sep 29, 2014 #2 sugu mtu makini sana amemkosea hadi amuachee? aseme ukweli hapa!!!
X Ximena JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 641 Reaction score 353 Sep 29, 2014 #3 geniveros said: sugu mtu makini sana amemkosea hadi amuachee? aseme ukweli hapa!!! Click to expand... mmmh ndugu sisi tuna uhakika na umakini wake kwenye muziki tu... hayo ya ndani hatuyajui, yoyote kati yao anaweza akawa mkosaji
geniveros said: sugu mtu makini sana amemkosea hadi amuachee? aseme ukweli hapa!!! Click to expand... mmmh ndugu sisi tuna uhakika na umakini wake kwenye muziki tu... hayo ya ndani hatuyajui, yoyote kati yao anaweza akawa mkosaji
QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 698 Sep 29, 2014 #4 Aachane na mambo ya kutafuta sympathy kwenye mitandao afanye yake tu ..!
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Sep 29, 2014 Thread starter #5 kalimizzle said: Aachane na mambo ya kutafuta sympathy kwenye mitandao afanye yake tu ..! Click to expand... Anatoa somo kwa wengine jinsi anavyoumia, nadhani tunalo la kujifunza hapa na siyo kumbeza Faiza.
kalimizzle said: Aachane na mambo ya kutafuta sympathy kwenye mitandao afanye yake tu ..! Click to expand... Anatoa somo kwa wengine jinsi anavyoumia, nadhani tunalo la kujifunza hapa na siyo kumbeza Faiza.
Ficus JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 1,438 Reaction score 1,119 Sep 29, 2014 #6 Mbona sijaelewa!? Sugu anahusika vipi na kilio cha huyo Faiza Ally? Lakini pole bibie kuna vitu vingine hutokea kama msiba lakini vina faida kubwa baadae.
Mbona sijaelewa!? Sugu anahusika vipi na kilio cha huyo Faiza Ally? Lakini pole bibie kuna vitu vingine hutokea kama msiba lakini vina faida kubwa baadae.