Faiza Ally: Wanaume msiwaache wanawake mliozaa nao, Sugu pls chozi la mwanamke hilo!!

Faiza Ally: Wanaume msiwaache wanawake mliozaa nao, Sugu pls chozi la mwanamke hilo!!

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Nimeona nisiongeze chumvi screenshoot hiyo hapo.

Nb: Mods ingawa wahusika ni celebs ila topic ni ya mmu, msihamishe tafadhari.

Matola.jpg
 
sugu mtu makini sana
amemkosea hadi amuachee?
aseme ukweli hapa!!!
 
sugu mtu makini sana
amemkosea hadi amuachee?
aseme ukweli hapa!!!


mmmh ndugu sisi tuna uhakika na umakini wake kwenye muziki tu...

hayo ya ndani hatuyajui, yoyote kati yao anaweza akawa mkosaji
 
Aachane na mambo ya kutafuta sympathy kwenye mitandao afanye yake tu ..!
 
Mbona sijaelewa!? Sugu anahusika vipi na kilio cha huyo Faiza Ally?
Lakini pole bibie kuna vitu vingine hutokea kama msiba lakini vina faida kubwa baadae.
 
Back
Top Bottom