Faiza aomba uchumba wa Mbunge Sugu uvunjike

Faiza aomba uchumba wa Mbunge Sugu uvunjike

Hongera Sana Faiza Sugu kwa Kuvalishwa Pete....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hivi ukimsoma Faiza huwa mnaamini anachoongea wabongo shida kweli yaani
 
Mtaongea mpaka mpasuke....ila ukishasikia mtu anaitwa jina FAIZA kaa naye mbali sana na uvunje kila nira yake juu yako...

Wabishi na wajuaji wa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom