Faiza awachana wanaomponda kwa kuvaa Pampers siku ya kuzaliwa kwake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu', Faiza Ally ‘Mama Sasha' amewafungukia watu ambao wanamponda yeye kutinga na ‘Pampers' Ukumbini na kusema kuwa hiyo ni moja ya maamuzi yake binafsi.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Faiza aliyetinga Vazi hilo Siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni, alisema kuvaa vile hafikiri kama kuna ubaya kwa mtu yeyote kwa kuwa kila mmoja ana maamuzi yake na hakumdhuru mtu.

"Mimi na maamuzi ya kuvaa chochote ambacho najisikia na kama hakina shida na mtu nakivaa na kuvaa vile ni moja tu ya kusherehekea Siku yangu ya Kuzaliwa na nilitaka kuwa tofauti," alisema Faiza kuwajibu wadau mbalimbali ambao wamekuwa wakimponda Mtandaoni juu ya Tukio hilo.
 
Enzi hizo

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, ameshare picha zinazowaonesha akiwa na mwanae pamoja na mama wa mtoto wake huyo, Faiza Ally, waliamua kupark usafiri wao pembeni ya barabara na kufurahia mandhari ya kuvutia ya Mlima Kitonga, mkoani Iringa. Tazama picha zao.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Faiza katika Pozi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]








Sugu akifurahia mandhari ya Kitonga



Faiza katika pozi



Faiza na mtoto wake

 
Hii habari ya mwaka juzi bado inaendelea tu kumbe!
 
Si mbaya tukiendelea kukumbashana kwa wale wasiomjua

Aliyekuwa mchumba wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu' Mbilinyi, Faiza Ally ameachwa na mbunge huyo aliyezaa nae mtoto mmoja wa kike.
Faiza ameweka wazi kwenye Instagram kuwa meli ya mapenzi yao imegonga mwamba na kusambaratika ingawa hakuweka wazi chanzo.
Mrembo huyo amejikita zaidi kueleza maumivu aliyoyapata huku akiwasihi wanaume kutowaacha wazazi wenzao au wapenzi wao.

Hiki ndicho alichoandika:
"Mtoto wangu wa Faiza na Joseph ana fikisha miaka 2 kesho , nimeangalia kumbu kumbu zangu na baba yake toka mimba yake mpaka leo nimejikuta nalia sana nalia kwa furaha na lia kwa uchungu mkali mno nalia kwa furaha kwa sababu nimefurahi kuwa nae katika maisha yangu sana , hakuna kitakacho nipa furaha hapa duniani Kama kumuona Sasha anakua na afya furaha anapata elimu nzuri na maisha mazuri na anapata elimu ya dini na ya duniani na zaidi kumjua mungu. Nalia kwa uchungu mkali kwa sababu ndoto zangu mimi na baba yake ilikua tumlee pamoja na tumuangalie kwa macho yetu mpaka mwisho wa maisha yake .. Lkn haiko hivyo .. Hii inauma sana jamani kuachana na baba wa mtoto hasa mtoto akiwa ktk umri mdogo uchungu ninao uasikia Sasa hivi hauna maelezo NINAUMIA sana sana sana nalia kwa nguvu mno wazazi jamani nawasihi hasa wanaume msiache wake zenu au wazazi wenzetu wanawake tunaumia sana yaani hata ukijitahidi vipi kila unapo muona mtoto lzm utamuona na baba yake naumia sioni aibu kusema hili NAUMIA Lkn mwisho wa siku sina cha kufanya nashukuru kwa yote maana haya ndio maajaliwa yangu nataka tu kuwaambia wazazi ambao mko kwenye ndoa na ambao hampo kwenye ndoa Kama mna watoto vumilianeni na mrekebishe tofauti zenu ili watoto wenu wawe ktk malezi ya wazazi wote Wawili… NAWAPENDA WATOTO WOTE na wamama single Kama mm pamoja na yote Lkn jitahidi tuwalee watoto wetu na tuwapenda muda wa kutosha na sisi ili wasione sana upweke wa kukosa baba kwa karibu…. Love yupo the single mother duniani."

 
Hivi kusema 'haya ni maamuzi yangu' kumbe ni kumchana mtu eeh!

ndio inatokana na watu walimponda sana wakati yeye ameona sahihi hivyo ni vidonge anawapa wale wazee wa kumind kila kitu hawajui kwamba kila mtu ana uhuru wa kufanya atakavyo ili mradi asivunje sheria.

Mimi binafsi sikuponda ata angevaa chupi shwali tu
 

Anyway sikujua na-argue na mtu wa aina gani, sasa nimekuelewa!
 

- Nilikuwepo kwenye this party, mwanzoni sikumuelewa ila then nikaja kumuona kwenye TV Show aki-capitalize on this event tena show ya karibu saa nzima ndio nikajua kumbe ana akili sana ya kibepari, unajua usiwaamshe waliolala utalala wewe so huyu baby ni mzima sana na anazo akili sana ni kawaida kwenye Capitalism mambo haya ila ni maajabu kwa mburulazz

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…