Faiza awachana wanaomponda kwa kuvaa Pampers siku ya kuzaliwa kwake

- Nilikuwepo kwenye this party, mwanzoni sikumuelewa ila then nikaja kumuona kwenye TV Show aki-capitalize on this event tena show ya karibu saa nzima ndio nikajua kumbe ana akili sana ya kibepari, unajua usiwaamshe waliolala utalala wewe so huyu baby ni mzima sana na anazo akili sana ni kawaida kwenye Capitalism mambo haya ila ni maajabu kwa mburulazz

Le Mutuz

uko sahihi tatizo umu wamejaa bush men hivyo ni ngumu kuelewa
 
- Nilikuwepo kwenye this party, mwanzoni sikumuelewa ila then nikaja kumuona kwenye TV Show aki-capitalize on this event tena show ya karibu saa nzima ndio nikajua kumbe ana akili sana ya kibepari, unajua usiwaamshe waliolala utalala wewe so huyu baby ni mzima sana na anazo akili sana ni kawaida kwenye Capitalism mambo haya ila ni maajabu kwa mburulazz

Le Mutuz

Kwahiyo unaloona wewe ni sawa kwako unalazimisha liwe sawa kwa wote? Hujioni kama wewe ndio Mbululaz kwa kutoheshimu maoni ya wengine kwa kujihisi uko sahihi kwa kila jambo?

Badilika Bob.
 
Ajabu maamuzi yake sugu anashindwa kuyaheshimu.
Ila single moms wana matatizo sana ya kiakili
 
- Nilikuwepo kwenye this party, mwanzoni sikumuelewa ila then nikaja kumuona kwenye TV Show aki-capitalize on this event tena show ya karibu saa nzima ndio nikajua kumbe ana akili sana ya kibepari, unajua usiwaamshe waliolala utalala wewe so huyu baby ni mzima sana na anazo akili sana ni kawaida kwenye Capitalism mambo haya ila ni maajabu kwa mburulazz

Le Mutuz

Bado nasisitiza kwamba binafsi huna kosa, kosa lilianzia kwa wale waliokulea ovyo ovyo! Sugu ana wazazi na ndg wengine, do u think wakiona mkamwana wao amevaa hivyo tena publicly wanapata picha gani? Nahisi ww na yule nabii Tito mna undugu wa damu, maana akili zenu zinafanans sana!
 
- Nilikuwepo kwenye this party, mwanzoni sikumuelewa ila then nikaja kumuona kwenye TV Show aki-capitalize on this event tena show ya karibu saa nzima ndio nikajua kumbe ana akili sana ya kibepari, unajua usiwaamshe waliolala utalala wewe so huyu baby ni mzima sana na anazo akili sana ni kawaida kwenye Capitalism mambo haya ila ni maajabu kwa mburulazz

Le Mutuz

Wewe na yeye ni sawa na pipa na mfuniko huwezi kumpa makavu!
 
Ajabu maamuzi yake sugu anashindwa kuyaheshimu.
Ila single moms wana matatizo sana ya kiakili

daaaah asee "single moms wana matatizo sana ya akili"mwenyezi mungu akusamehe kwa apo yani kakosa mmoja umerusha jiwe kwa wote aah god bless you twice am proud of my mother
 
Huyu faiza keshazoea kudanga enzi hizo kwao airpot dom na mpaka sahivi ni mchunaji tu wadada wote wanaojiuza dom wenye majina wanafikia kwake sinza utakula atakupa nguo uvae lakini jioni lazima utoke ukatafute hela kuachwa na sugu kutamuuma sana tena sana tuone kama atasafirisafiri ovyo kama alivyokuwa na muheshimiwa.
 
Yule hawezi kuona ajabu maana kazi aliyokuwa anaifanya yaan pale ndo kavaa
 
demu km yule wa nini sasa ht mwehu haoi

imagine muheshimiwa ndio angekuwa amesha tie a knot pale ingekulaje kwake break fast lunch na dinner sasa?? kweli kunakutoka tofauti but that was weird aisee!
 
Si mchezo jamani
 
Attachments

  • 1421160273744.jpg
    1421160273744.jpg
    34.8 KB · Views: 304
  • 1421160297749.jpg
    1421160297749.jpg
    18.3 KB · Views: 300
  • 1421160316712.jpg
    1421160316712.jpg
    33 KB · Views: 294
imagine muheshimiwa ndio angekuwa amesha tie a knot pale ingekulaje kwake break fast lunch na dinner sasa?? kweli kunakutoka tofauti but that was weird aisee!

yani kuna waadadw hamna kabisa kwa kweli
 
Matola ndo wewe au naota?

Kwa mawazo yako unadhani mimi ni mtu Team mavi? Mimi Comment zangu based on reality, wanawake mjifunze kuwaheshimu wanaowapenda kwa dhati buzi likikata kamba ndio imetoka hiyo ikirudi pacha. Atajibeba.

Zari ikizunguwa Mkulu anamuozesha mwanaasha kabisaa ikulu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom