Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #21
- Nilikuwepo kwenye this party, mwanzoni sikumuelewa ila then nikaja kumuona kwenye TV Show aki-capitalize on this event tena show ya karibu saa nzima ndio nikajua kumbe ana akili sana ya kibepari, unajua usiwaamshe waliolala utalala wewe so huyu baby ni mzima sana na anazo akili sana ni kawaida kwenye Capitalism mambo haya ila ni maajabu kwa mburulazz
Le Mutuz
uko sahihi tatizo umu wamejaa bush men hivyo ni ngumu kuelewa