Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Asante mkuu kwa kuliona hilo,ukimuondo yule curi,wengine wote hawana utoto ni watu Na ma..vu..shi yao ila tu
Miti wenye matunda ndio hupopolewa mawe!
Kuna baadhi ya watu inabidi nianze kutathimini heshima ninayowapa kama wanastahili.
Pole sana Dj ila kiukweli mimi nakubali sana interviews zako! Usiyumbishwe na hao watafutao kiki kwa pikipiki!
 
Asante mkuu kwa kuliona hilo,ukimuondo yule curi,wengine wote hawana utoto ni watu Na ma..vu..shi yao ila tu
Miti wenye matunda ndio hupopolewa mawe!
Kuna baadhi ya watu inabidi nianze kutathimini heshima ninayowapa kama wanastahili.
mbona kama unapendelea upande mmoja tuu?? na kuna wale wadada wanapiga story humu sijui wanasema vitumbua vimeiva!,sijui d mara nani!.. mbona hujawataja??ilibidi waulize maswali maana hii ni interview!.. sasa nimeelewa kwanini watu wanasema unashoboka na watoto wazuri!.. (usimind lakini)
 
Sina upendeleo man
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dj arudi show ziendelee kuna raia nataka amuhoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…