stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Uliza basi hako kaswali mkuumie nasoma tu nataka mkimaliza wote nimuulize kaswali kaduchu tena ni kumbshwe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza basi hako kaswali mkuumie nasoma tu nataka mkimaliza wote nimuulize kaswali kaduchu tena ni kumbshwe...
Pole sana Dj ila kiukweli mimi nakubali sana interviews zako! Usiyumbishwe na hao watafutao kiki kwa pikipiki!Asante mkuu kwa kuliona hilo,ukimuondo yule curi,wengine wote hawana utoto ni watu Na ma..vu..shi yao ila tu
Miti wenye matunda ndio hupopolewa mawe!
Kuna baadhi ya watu inabidi nianze kutathimini heshima ninayowapa kama wanastahili.
Kiongozi napendekeza next time uje na babu Asprin au Nyani Ngabu!Taken, we will see!
mbona kama unapendelea upande mmoja tuu?? na kuna wale wadada wanapiga story humu sijui wanasema vitumbua vimeiva!,sijui d mara nani!.. mbona hujawataja??ilibidi waulize maswali maana hii ni interview!.. sasa nimeelewa kwanini watu wanasema unashoboka na watoto wazuri!.. (usimind lakini)Asante mkuu kwa kuliona hilo,ukimuondo yule curi,wengine wote hawana utoto ni watu Na ma..vu..shi yao ila tu
Miti wenye matunda ndio hupopolewa mawe!
Kuna baadhi ya watu inabidi nianze kutathimini heshima ninayowapa kama wanastahili.
mbona kama unapendelea upande mmoja tuu?? na kuna wale wadada wanapiga story humu sijui wanasema vitumbua vimeiva!,sijui d mara nani!.. mbona hujawataja??ilibidi waulize maswali maana hii ni interview!.. sasa nimeelewa kwanini watu wanasema unashoboka na watoto wazuri!.. (usimind lakini)
Mamaa umekua mtunduWewe ni KE?mbona upo hapa?