Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Maisha ya duniani ni safari fupi sana kwa mwanadam. Maisha kwangu, umri uliopita umekuwa kama "adventure" ambayo siijutii.

Ibada, ibada, ibada. Tunaishi ili tuabudu. Wengi hawaelewi maana yake.

Kula vya halali ni ibada, kusoma ni ibada, kufanya kazi za halali ni ibada.

Kwa ufupi maisha tunayoishi ni ibada. Tuishi huku tukikumbuka hilo.
Umesema wewe ni mjasiriamali mwenye projects lukuki!
Je kwa kiasi gani umefanikiwa?
Zipi ni challenge kuu!
Kama yapo mafanikio je misingi yake mikuu 3 ni ipi?
 
Maisha ya duniani ni safari fupi sana kwa mwanadam. Maisha kwangu, umri uliopita umekuwa kama "adventure" ambayo siijutii.

Ibada, ibada, ibada. Tunaishi ili tuabudu. Wengi hawaelewi maana yake.

Kula vya halali ni ibada, kusoma ni ibada, kufanya kazi za halali ni ibada.

Kwa ufupi maisha tunayoishi ni ibada. Tuishi huku tukikumbuka hilo.
Unafiki wa kiwango cha juu huu.

Swala ya magharibi imekupita, ngoja nione kama Ishaa utaenda kuswali.
 
Back
Top Bottom