Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Umesema wewe ni mjasiriamali mwenye projects lukuki!
Je kwa kiasi gani umefanikiwa?
Zipi ni challenge kuu!
Kama yapo mafanikio je misingi yake mikuu 3 ni ipi?
Ujasiriamali ni mgumu sana. Nadhani ndiyo maana kuna "ujasiri" kwenye hilo neno.

Mafanikio yapo nashukuru lakini si ya kufumba na kufumbua.

Muhimu ni nidhamu, ukweli na "consistency".

Bila hivyo huwezi kujenga jina zuri na bila jina zuri sahau ujasiriamali.
 
Kweli kabisa mkuu...embu pata picha unauliza swali badae unaambiwa hilo nimeshajibu?? Kuna shida ipi tukiuliza hapa na akajibu hapa hapa..? au kwa mfano unauliza swali sasa hivi kwa thread inavyokwenda kasi unadhani ataona yote na ayajibu yote mkuu hapo baadae??
Interview inanoga kwa kujibu maswali ya wanachama wote, kwasababu kila mtu anadukuduku lake.
 
katika yote ni uchwara tuu umeona? acha uduwanzi mkuu
81e11aaa058188e4c54dc2bb69b5cf29.jpg
 
Ujasiriamali ni mgumu sana. Nadhani ndiyo maana kuna "ujasiri" kwenye hilo neno.

Mafanikio yapo nashukuru lakini si ya kufumba na kufumbua.

Muhimu ni nidhamu, ukweli na "consistency".

Bila hivyo huwezi kujenga jina zuri na bila jina zuri sahau ujasiriamali.
Asante swali la mwisho!
Unapenda dunia ikumbuke kwa nini hasa Mungu akikuchukua!
Legacy ipi utaacha!
 
Back
Top Bottom