Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Kutoka moyoni nakuchana bila huruma , yaani katika watu nisiowapenda Jamiiforums dogo umekamata namba moja.
Huwezi kunipenda kwa kuwa nausumbua moyo wako unafukuta kwa wivu!
Huna lolote ni roho mbaya ndo unaijua ndio maana upo hapa kuonyesha huo upimbi wako kumtukana Faiza bila aibu.

Aliyekuambia mm nahitaji kupendwa Na mtu kama wewe nan?

Mimi nakuona ka kyupi yako iliyotoboka katikati
 
Astaghafirulilah...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wapi nilipomtukana Faiza?
 
0.Mtazamo wako vitabu vina uwezo wa kubadilisha maisha?
1.Unasoma vitabu vingapi kwa mwaka?
2.Aina gani ya vitabu unapenda kusoma?
3.Tupe majina ya vitabu vyako kumi bora ulivyowai kusoma?
4.Kwa mtu ambaye anataka kuanza kusoma vitabu,aanze na kipi?@Faiza Foxy
 
Siku zingine uzingatie katiba na wewe mtoto, maanake unaikanyaga na kuwanyima watu uhuru

Kama unamwita mtu kwa manufaa yako tuu uwe unamfuata in box[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Unadhani tunaendesha interview kiholera?
Lazima kuwa Na host Na hosted!
Kila mtu akiuliza swali unafikiri hosted atakuwa Na hali gani?
Utaratibu ni kuwa maswali ya audience yanajibiwa baadae!
Kama Faiza haonekani labda kapata dharura kwa sasa.
 
Huwezi kunipenda kwa kuwa nausumbua moyo wako unafukuta kwa wivu!
Huna lolote ni roho mbaya ndo unaijua ndio maana upo hapa kuonyesha huo upimbi wako kumtukana Faiza bila aibu.

Aliyekuambia mm nahitaji kupendwa Na mtu kama wewe nan?

Mimi nakuona ka kyupi yako iliyotoboka katikati
Halafu kwa kipi hasa mpaka nikuonee wivu?[emoji108] [emoji108] [emoji108]

Una nini cha ziada wewe kila kukicha kazi kufuata ID za kike PM ukililia wakupe kiki kwenye threads zako ?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Huwezi kunipenda kwa kuwa nausumbua moyo wako unafukuta kwa wivu!
Huna lolote ni roho mbaya ndo unaijua ndio maana upo hapa kuonyesha huo upimbi wako kumtukana Faiza bila aibu.

Aliyekuambia mm nahitaji kupendwa Na mtu kama wewe nan?

Mimi nakuona ka kyupi yako iliyotoboka katikati
achana nae huyo jamaa sijui ana matatizo gani siku hizi labda kauza id yake sio hance tunaemjua
 
yaani wewe mbea mwenzangu nilikuwaga nakupenda kishezi ila nimekuja kukuona bonge moja la jamaa feki ,una roho mbaya yaani sijui nisemeje ila najipa moyo labda kuna mtu kaiba id yako .
Sorry mkuu kwa kukukwaza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Good evening!!
Baada ya interview nzuri Na miss natafuta,tunapenda kuwajulisha kuwa,mnamo saa kumi Na mbili jioni tutakuwa nae bibie Faiza foxy .

Ili kupata viovyo tofauti tofauti tunaomba ushiriki mwema Na wenye hekima kulingana Na umuhimu Na karba ya mgeni wetu Leo.

Asanteni.
Pamoja na maangalizo yako unayoyaweka, we dogo unasababisha vurugu mwenyewe... Uzi unauanzisha saa kumi na moja kasoro robo wakati usahili unaanza saa 12. Hapa katikati unategemea hawa vijana wasiojua kufuata masharti watafanyeje??

Mtu maarufu kama FaizaFoxy vijana wengi wana shauku ya kumuuliza maswali ili wapate uzoefu wake katika maisha. Sasa muda wote huu unakatika lazima itokee vurugu tu.

Bahati mbaya sana, maswali ambayo walipaswa kumuuliza baada yako, kiherehere chao kimewafanya wayaulize kabla usahili haujaanza na matokeo yake hawajajibiwa na lawama zote wanakuangushia wewe...

Hongera kwa kipindi kizuri lakini jaribu kurekebisha kasoro ndogo ndogo ili uende sawa na vijana wenzako. nakushauri usahili uanze papo kwa papo ili kutowapa nafasi watu kuchakachua...

Baada ya kuandika hayo, mimi babu yenu narejea kitandani kupumzika na bibi yenu.
 
Back
Top Bottom