Faiza Haider vs Lulu Michael

Naona ameacha kazi EATV maana leo kuna shindano Linaloendeshwa na EATV kumtafuta mlithi wake

Wee?? Duh yule alikuwa anafanyia hobby tu na sio njaa kama engine, maana kwao wana mkwanja hatari, now yupo usa
 
Wee?? Duh yule alikuwa anafanyia hobby tu na sio njaa kama engine, maana kwao wana mkwanja hatari, now yupo usa

.
Afu yule mwenzake kama haja nanii basi ntamwona bullshit
.
Kwa hiyo kaenda usa o-level kaachia njiani?
.
.
 
lulu bongo movie haimlipi! hivyo vifanyio uzuri anakopa!

actually, ni mzuri ndio lakini ana kajini ka mauaji! hahaaa!

kuhusu haka kabinti kengine, ngoja niende field kukakagua! siwezi kupruvu kwamba wewe ni mzuri wakati sijakufanya lolote! teh...!

NB : kanumba hakufa bure aisee!
 
umeona eeh huyu ana mpango kabambe y amuue kanumba ana lake moyoni
 
umeona eeh huyu ana mpango kabambe y amuue kanumba ana lake moyoni

.
Uncle jj hawezi kuvuta kwa kusukumwa na lulu.....
.
Hivi kwanza hako katoto kana toa wapi pesa mana familia yake sizani kama inazo za kutosha kukapa kafanye matanuzi au kauzaji?
.
 
.
Uncle jj hawezi kuvuta kwa kusukumwa na lulu.....
.
Hivi kwanza hako katoto kana toa wapi pesa mana familia yake sizani kama inazo za kutosha kukapa kafanye matanuzi au kauzaji?
.

Nasikia riz ndo anakula mzigo na jamaa mmoja ivi mume wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…