Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenyekiti wa serikali za mitaa
Hapana mkuu, ni kule kimanzichana , anafahamika sana
Aaah aaah nani nyonya mavi sasa
Wee?? Duh yule alikuwa anafanyia hobby tu na sio njaa kama engine, maana kwao wana mkwanja hatari, now yupo usa
.
Afu yule mwenzake kama haja nanii basi ntamwona bullshit
.
Kwa hiyo kaenda usa o-level kaachia njiani?
.
.
Kwan S Kameua Form Four Kalee?
.
Kauwe form four wapi bwana!
.
Afu kana jini la kujishusha miaka!
.
lulu bongo movie haimlipi! hivyo vifanyio uzuri anakopa!
actually, ni mzuri ndio lakini ana kajini ka mauaji! hahaaa!
kuhusu haka kabinti kengine, ngoja niende field kukakagua! siwezi kupruvu kwamba wewe ni mzuri wakati sijakufanya lolote! teh...!
NB : kanumba hakufa bure aisee!
umeona eeh huyu ana mpango kabambe y amuue kanumba ana lake moyoni
.
Uncle jj hawezi kuvuta kwa kusukumwa na lulu.....
.
Hivi kwanza hako katoto kana toa wapi pesa mana familia yake sizani kama inazo za kutosha kukapa kafanye matanuzi au kauzaji?
.
hakuna ushindani hapo, unafananisha nyonya mavi na audi A8
Unichagulie binamu,yupi mkali apo nianze kuwekaza kwenye kibubu mapemaa
mwenyekiti wa serikali za mitaa