Kwani ile movement ya sugu asipigiwe kura na wanawake imeishiaga wapi???
Nonsense tena mwambieni sugu ameongoza Tanzania nzima kwa wabunge wenye kura nyingi!!!
Kwani nani alimuuliza kama alifurahia ushindi wa sugu?
Nadhani Mr Sugu ktk ajali mbaya alizowahi kukutana nazo na alizopata duniani kuliko hata kufa ni pamoja na kuzaa na huyu kinyamkera.
Jamani muwe mnaangalia watu wa kuzaa nao, kuna binadamu wengine utaomba mwisho wa dunia ufike.
Nimecheka sana, faiza Leo kavaa shela kwenye b.day yake, ikumbukwe b.day kiingilio ni sh elfu 50, kasema michango hiyo watapelekewa yatima
Nimecheka sana, faiza Leo kavaa shela kwenye b.day yake, ikumbukwe b.day kiingilio ni sh elfu 50, kasema michango hiyo watapelekewa yatima
Hahahaa yani hiii sasa ni psychotic case,sugu amuonee huruma mwenzie bado hajakubaliana na hali
Nimecheka sana, faiza Leo kavaa shela kwenye b.day yake, ikumbukwe b.day kiingilio ni sh elfu 50, kasema michango hiyo watapelekewa yatima
Faiza ktk ubora wake, hahaha
Hahahaa yani hiii sasa ni psychotic case,sugu amuonee huruma mwenzie bado hajakubaliana na hali
faiza anatumia nguvu sana kupata umaarufu ila nyota yke inagoma......sugu mrudie mzazi mwenzio akili irudi sawa
kweli huyu dada anashida mungu amlinde asije fungwa katani kupelekwa mirembe.....anatumia nguvu sana kupata umaarufu n kujulikana ila mhhhh
Mkuu umenena vema!! Alafu nimeambiwa ni mzaramo
Hapana mkuu huyu manzi ni mgogo!