watu wengine huwa wanapenda kufikiria kwa kutumia masaburi yao, achana naye huyo!jaribu kushirikisha ubongo wewe, hata kama akiwa na miaka 15 na ajali ya Mv.BUKOBA ni miaka 16 sasa na yeye anadai anakumbuka tukio zima na alikuwa na akili timamu, Use your Mind
jamani huyu mtoto ana miaka 16 ni vyakula 2navyokula siku hizi kama kwenu wanauwezo we unafikiri chakula anachokula huyu unaweza kulinganisha na unachokula we
kwa mfano kuna mtoto namfahamu ana miaka 13 but ukimuona unaweza sema ana 18-20 kwahiyo mi nimemjaji kwa ninavyomfahamu
Shule gani? mbona humalizii! Samahani lakiniyupo kidato cha tatu mkuu
Juventus huyu.
Tru dat.... Mimi sioni kama mkongwe, age yake itakuwa in early twenties hivi.., tatizo ni kwa nini adanganye? Nilikuwa nampenda sana na nilikuwa napenda show yao na niliifuatilia sana, ila kwa hapa kanichefua..
Shule gani? mbona humalizii! Samahani lakini
nimeipenda iyo research Kalulu uko makini, ila in most cases umri kwa watu 'maarufu' (ambiguity) huwa ni kigugumizi
hili limama lizima mnasema lina miaka 15,achen utani wakuu?
true kabisa.. nadhani wengi wanafanya kwa sababu hiyo., maana mbali ya hapo hainiingii akilini kwa nini mtu adanganye umri., kwa wale wanaojiongezea nadhani ni kwa sababu wanataka fanya mambo yasiyokubalika na jamii kwa umri wao,kibongo bongo na afrika ni sawa...duniani hakuna biashara ya kijinga ya kudanganya umri..utamdanganya nani wakati kila mtu record zake zipo na zinafahamika???
kitu cha watu kujiuliza ni...ukishadanganya halafu unapata nini??? kwamba una kipaji sana ambacho kimejitokeza ukiwa bado mdo ki-umri...je, hiyo ni sifa ya kutosha kufanya uishi maisha ya kuigiza...no wonder nchi inaelekea kuwa taifa la wasanii(soma waongo waongo, si wakweli).
hahha,umeua mkuuhuyu anakimbilia 40 mkuu.