The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
This is not fair guys..huyu ana miaka 15..JF ikiamua kumchafua mtu..dahh!!!
mzazi kasema wakati wa mv bukoba alikuwepo, leo ni 16 yrs, labda kama anahesabu kinyumenyume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is not fair guys..huyu ana miaka 15..JF ikiamua kumchafua mtu..dahh!!!
This is not fair guys..huyu ana miaka 15..JF ikiamua kumchafua mtu..dahh!!!
Mbona anaonekana Gubegube!
a.k.a baby drama
a.k.a baby drama
Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha ah arifu umeniacha hoiii aiseeeeeeeeee.....bwahahahahahaahaha hapo ndio ujue dar kila kitu ni drama dadadadadadadadeki.....tena hawa mashori bana wanabugi stepu kinoma noma.....hawajui kudanganya kabisa......sasa kwa haka kabinti miaka yake itakuwa ni 16 na miaka ambayo alikuwa na akili kidogo kama miaka mitatua au minne kwa kifou hako kasichana kana miaka 20 au 19 bwahahaahSijui kwanini wasanii wa bongo wanapenda kudanganya umri wao., hilo tumeliona kwa wasanii wachache na mmoja wapo "lulu" ambaye amefunza jamii juu ya adhari za kudanganya umri., turudi kwa faiza mtangazaji wa channel 5 kipindi cha 5 select., kama wiki mbili zilizopita tuliona exclusive session yakr ndani ya skonga ambapo alihojiwa shule anaposoma na kwa mdomo wake nakumbuka alisema ana miaka 15.. Sasa leo kaniacha kwenye butwaa kugundua na yeye ni kama wasanii wengine baada ya kuongea juu ya topic ya MV bukoba katika kipindi cha leo cha 5 select akisema anakumbuka alimpoteza bibi yake na ilibidi wasafiri na mama yake kwenda kutambua mwili wa huyo bibi yake.. MV bukoba ni miaka 16 sasa imepita, skonga kasema anamiaka 15 halafu 5 select anahadithia jinsi ajali ilivyotokea na alivyojisikia vibaya baada ya mama yake kumpa taarifa., tena ameongea hivi " i was young but i still remember everything coz nilimpenda sana bibi yangu"... Sasa nawauliza jamii, kudanganya umri kwa wasanii imekuwa fashion au...?
Tru dat.... Mimi sioni kama mkongwe, age yake itakuwa in early twenties hivi.., tatizo ni kwa nini adanganye? Nilikuwa nampenda sana na nilikuwa napenda show yao na niliifuatilia sana, ila kwa hapa kanichefua..Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha ah arifu umeniacha hoiii aiseeeeeeeeee.....bwahahahahahaahaha hapo ndio ujue dar kila kitu ni drama dadadadadadadadeki.....tena hawa mashori bana wanabugi stepu kinoma noma.....hawajui kudanganya kabisa......sasa kwa haka kabinti miaka yake itakuwa ni 16 na miaka ambayo alikuwa na akili kidogo kama miaka mitatua au minne kwa kifou hako kasichana kana miaka 20 au 19 bwahahaah
munataka kumpa umaarufu tu Huyu mtoto msema uwongo
kama nyie ni wafuatiliaji wazuri juzi kati alifanya barthday yake katimiza miaka 16 na hata kwe fb kaandika ana miaka 16 kwa hiyo unaweza kuta wakati ajali inatokea alikua na miezi labda kumi na moja kwahiyo anakua anafahamu baadhi ya vi2
hawa wanarithi kutok kwa dada yao Lady jay dee coz hta yeye ni utata mtupu about her age..meanwhile wabongo tunadangany umri by taking the advantage ya miili yetu midogo but ukizoom sura zetu aaah kitu juventus..lol!
according na stori yake haiwezekani kuwa chini ya umri wa miaka mitatu, ni alikua na akili zake hadi anahadithia mazungumzo baina ya yeye na mama yake alivyomletea hizo habari.. birthday siku hizi hazina ukweli na haziaminiki, mbona lulu alifanya ya kutimiza miaka 18?kama nyie ni wafuatiliaji wazuri juzi kati alifanya barthday yake katimiza miaka 16 na hata kwe fb kaandika ana miaka 16 kwa hiyo unaweza kuta wakati ajali inatokea alikua na miezi labda kumi na moja kwahiyo anakua anafahamu baadhi ya vi2