Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

Status
Not open for further replies.
This is not fair guys..huyu ana miaka 15..JF ikiamua kumchafua mtu..dahh!!!

This is a home of great thinkers and not home of great haters.. Tambua hilo., ni mdomo wake mwenyewe ulioongea two weeks ago kwamba ana miaka 15 ndani ya skonga, jana ndani ya 5 select anatuhadithia stori yake ya MV bukoba, MV bukoba ni 16 years ago.. Na jinsi alivyohadithia ni alikuwa mtoto mwenye akili zake timamu... Hapo kuna uchafu gani niliomchafua.. Mimi nimechukua statement zake mbili mwenyewe zilizopingana...! Amka ww...!
 
hichi kitoto lazima nikibandue,ngoja nianze kukitafuta joint za teens...ntakipata tu.
 
Sijui kwanini wasanii wa bongo wanapenda kudanganya umri wao., hilo tumeliona kwa wasanii wachache na mmoja wapo "lulu" ambaye amefunza jamii juu ya adhari za kudanganya umri., turudi kwa faiza mtangazaji wa channel 5 kipindi cha 5 select., kama wiki mbili zilizopita tuliona exclusive session yakr ndani ya skonga ambapo alihojiwa shule anaposoma na kwa mdomo wake nakumbuka alisema ana miaka 15.. Sasa leo kaniacha kwenye butwaa kugundua na yeye ni kama wasanii wengine baada ya kuongea juu ya topic ya MV bukoba katika kipindi cha leo cha 5 select akisema anakumbuka alimpoteza bibi yake na ilibidi wasafiri na mama yake kwenda kutambua mwili wa huyo bibi yake.. MV bukoba ni miaka 16 sasa imepita, skonga kasema anamiaka 15 halafu 5 select anahadithia jinsi ajali ilivyotokea na alivyojisikia vibaya baada ya mama yake kumpa taarifa., tena ameongea hivi " i was young but i still remember everything coz nilimpenda sana bibi yangu"... Sasa nawauliza jamii, kudanganya umri kwa wasanii imekuwa fashion au...?
Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha ah arifu umeniacha hoiii aiseeeeeeeeee.....bwahahahahahaahaha hapo ndio ujue dar kila kitu ni drama dadadadadadadadeki.....tena hawa mashori bana wanabugi stepu kinoma noma.....hawajui kudanganya kabisa......sasa kwa haka kabinti miaka yake itakuwa ni 16 na miaka ambayo alikuwa na akili kidogo kama miaka mitatua au minne kwa kifou hako kasichana kana miaka 20 au 19 bwahahaah
 
Tru dat.... Mimi sioni kama mkongwe, age yake itakuwa in early twenties hivi.., tatizo ni kwa nini adanganye? Nilikuwa nampenda sana na nilikuwa napenda show yao na niliifuatilia sana, ila kwa hapa kanichefua..
 
munataka kumpa umaarufu tu Huyu mtoto msema uwongo

Hatumpi umaarufu bali tunataka kufundisha tu hawa wasanii wetu na maceleb kuwa mashabiki wao sio wapumbavu wakuwadanganya kila siku.. Wanapoelekea siku jitu zima litatangaza halijapevuka bado..
 
kama nyie ni wafuatiliaji wazuri juzi kati alifanya barthday yake katimiza miaka 16 na hata kwe fb kaandika ana miaka 16 kwa hiyo unaweza kuta wakati ajali inatokea alikua na miezi labda kumi na moja kwahiyo anakua anafahamu baadhi ya vi2
 
and then kwani we ulipokua mdogo huwezi ukawa unampenda bibi kwakua mara nyingi unashinda nae nyumbani
 
kama nyie ni wafuatiliaji wazuri juzi kati alifanya barthday yake katimiza miaka 16 na hata kwe fb kaandika ana miaka 16 kwa hiyo unaweza kuta wakati ajali inatokea alikua na miezi labda kumi na moja kwahiyo anakua anafahamu baadhi ya vi2

Hata Lulu alifanya ya kutimiza miaka 18 ...
 
huyo faiza ana miaka 16 na hata ukiangalia 2 kwa harakahaka anasoma 4m 3! Mtoto mwenye miaka hiyo ni lazima awe 4m 3 au 4 kwa tz
 
wote mnaosema kwamba ana zaidi ya 16 mna lenu au ndio mna tabia za kifataki
 
hawa wanarithi kutok kwa dada yao Lady jay dee coz hta yeye ni utata mtupu about her age..meanwhile wabongo tunadangany umri by taking the advantage ya miili yetu midogo but ukizoom sura zetu aaah kitu juventus..lol!
 
hawa lady jd sio dada kwao,bali bibi....
 
Wabongo kwa kufuatilia nimewavulia kofia kale katoto mnakachunguza hivyo kweli ajira Tanzania ni bomu la kitaifa.
 
kama nyie ni wafuatiliaji wazuri juzi kati alifanya barthday yake katimiza miaka 16 na hata kwe fb kaandika ana miaka 16 kwa hiyo unaweza kuta wakati ajali inatokea alikua na miezi labda kumi na moja kwahiyo anakua anafahamu baadhi ya vi2
according na stori yake haiwezekani kuwa chini ya umri wa miaka mitatu, ni alikua na akili zake hadi anahadithia mazungumzo baina ya yeye na mama yake alivyomletea hizo habari.. birthday siku hizi hazina ukweli na haziaminiki, mbona lulu alifanya ya kutimiza miaka 18?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom