Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

Status
Not open for further replies.
Huyo dogo wakishua hatariii,ni bint mdog tu maana ukimwona mama yake umr wake ni 30 had 32,so she can be 16 kweli,huyo demu hanag uswahil kam mnaompakazia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Ajali ya Mv Bukoba ilitokea mwaka 1996,mwaka 1997 nilisoma madrasa na huyo binti akiwa mtoto mwenye uelewa tayari,ana uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu,alikua mtundu mwenye maneno mengi. Huo umri anaotaja anadanganya,wakati ajali ya Mv Bukoba inatokea alikua amezaliwa tayari na mwenye uelewa.
 
tuheshimiane jamani, huyu haezi kuwa na miaka 15, labda ya kichina.

mwenzio kazaliwa 1998, lakini 1996 alikwenda kutambua maiti ya bibi yake aliezama na kufa maji kwa ajali ya mv bukoba.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…