abuu garcia
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 227
- 405
Uyo sio kichaa vichaa ni sisi tunaoficha mambowalikutana facebook eti tunamlaumu hahahaha kuna siku aliwahi sema sugu kamla jicho khaaaaaaaaaaaa kichaa tu huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo sio kichaa vichaa ni sisi tunaoficha mambowalikutana facebook eti tunamlaumu hahahaha kuna siku aliwahi sema sugu kamla jicho khaaaaaaaaaaaa kichaa tu huyu
aka mi si kichaa labda weweUyo sio kichaa vichaa ni sisi tunaoficha mambo
Hana la kujuta Zaidi ya huyu mwanamke alivyokwisha mtangaza;Mimi nafikiri sugu alipaswa kumchukua tu safari hii huenda angebadilika vinginevyo ataendelea kujuta kwanini alizaa na huyo binti.
Mkuu Mulhat Mpunga ni wewe ndio unafanya hicho kitendo kwenye "Avatar" yako??takataka kabisa hii
kheeeeeeeeeeeeee mi navaa za mitumba tu hakuna cha kupapaswa kiuno na fundi charahani mweMkuu Mulhat Mpunga ni wewe ndio unafanya hicho kitendo kwenye "Avatar" yako??
miss chagga japo ye mwenyewe kasema kuna mambo huwa anafanya ili kutafuta "kick"Huyu Dada yupo open sana ni nzuri
Atakuwa anao ila may be hashauriki . bad enough MTU mzima huyomiss chagga japo ye mwenyewe kasema kuna mambo huwa anafanya ili kutafuta "kick"
Hivi ana ndugu au wazazi walio hai??nasikia kwao Dodoma
Ndiyo hivyo banaTena jana ulikuwa ukimwangalia usoni,unaona kabisa "Yamesaa yameenda",kama ni rubani basi mbioni kukabidhi leseni aachie vijana
Sio mama yangu na Dada zangu,,,hongera kwenu nyinyuKila mwanamke anajiuza ni kiasi cha kujua bei yake tu!
Naona fundi wa udigoni akipima upana wa kiuno kwa avatar pic yako,,,,!!!!!!kheeeeeeeeeeeeee mi navaa za mitumba tu hakuna cha kupapaswa kiuno na fundi charahani mwe
KIPENZI UPO? KUMBE NI WA UDIGONI NDO WANAFANYA HAYA?Naona fundi wa udigoni akipima upana wa kiuno kwa avatar pic yako,,,,!!!!!!
Bora useme wewe huyu kijana hana adabu sijui kwao hakuna wanawake jana nilimpa maneno hadi akaingia mitini nashangaa Leo sizioni comments zangu sijui moderator wamezifuta mxyiuusshh..Sio mama yangu na Dada zangu,,,hongera kwenu nyinyu