DUME SURUALI
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 782
- 1,084
- Thread starter
-
- #41
[emoji21] [emoji21] [emoji21] ...plz nakuomba kama alikukosea umsamehe kwani binadamu hatujakamilika plzzz ..utamfanya bebi wangu mtarajiwa ajihisi mpwekeMim huyo unaye mtaja ni moja ya watu ninaowachukia duniani
[emoji21] [emoji21] [emoji21] ...plz nakuomba kama alikukosea umsamehe kwani binadamu hatujakamilika plzzz ..utamfanya bebi wangu mtarajiwa ajihisi mpweke
Tafadhali sana
Pacha wangu huyo....nimeona nikiweka picha yangu halisi faiza foxy ataota usikuIla huyo wa kwenye avatar ni wewe??
Nina swali moja tu mkuu. Kwenye avatar ndio Faiza mwenyewe? Kama ndio Faiza basi ndio maana kijana kadataNasikia mvua inanyeesha Tanzania, kweli?
Unamaana kwamba vichaa wanakuwa wengiNasikia mvua inanyeesha Tanzania, kweli?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Tunaompenda faiza tuko wengi sana ila wewe umejitokeza hadharani-hongera but mimi sio kimahaba,nampenda as my dada,nampenda mpaka wife anajua,pamoja na nifah ila huyu nifah YANGA imeongeza mapenzi yangu kwake,nawapenda sana hawa watu.
Sikukuu ya 9 Disemba + week end + viroba vya kuhongwa na wanaume wenzio = Nyege mshindo.
Hahahahaha!! Unanikoshaga hapo tu Faiza.. Una majibu 'sahihi' kwa kila aina ya binadamuSikukuu ya 9 Disemba + week end + viroba vya kuhongwa na wanaume wenzio = Nyege mshindo.
Wewe umebemenda wangapii? Au ulitaka unibemende wewe? Aaaaaah ....unanibagua tatizo mimi shoga,niache na ushoga wangu tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mleta mada "utabemendwa".
hahahahahaha avatar yake ndo inakumalizaga mkuu
Dah huyu Mkuu kumbe shoga?Wewe ulisha bemendwa mara ngapii? Au ulitaka nikusaundishe wewe? Aaaaaah ....tatzo sina time na mashog.a