DUME SURUALI
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 782
- 1,084
- Thread starter
- #81
Kawaida ..unajuwa kutongoza ni kama kazi,yaani unapokuwa kazini lazima kunakuwa na makosa madogo2 hiyo tunasema ni ajali kazini yaani UNAKUTA UNAMTONGOZA DEM MZUR KAMA FF ALAFU KUNA DUME LINAKUJA NALO LINATAKA ETI LITONGOZWE! Mfano mzuri ni huyu bibie anaye jiita kodadallMbona kama umepanic hivi.
Relax