Faizafox anautesa moyo wangu jamani

Mbona kama umepanic hivi.

Relax
Kawaida ..unajuwa kutongoza ni kama kazi,yaani unapokuwa kazini lazima kunakuwa na makosa madogo2 hiyo tunasema ni ajali kazini yaani UNAKUTA UNAMTONGOZA DEM MZUR KAMA FF ALAFU KUNA DUME LINAKUJA NALO LINATAKA ETI LITONGOZWE! Mfano mzuri ni huyu bibie anaye jiita kodadall
 
Ndio changamoto hizo.

Ila punguza lugha Kali aisee
 
Ama kweli bichwa Maji ni mzigo kwa miguu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kawaida ..unajuwa kutongozwa ni kama kazi,yaani unapokuwa kazini lazima kunakuwa na makosa madogo2 hiyo tunasema ni ajali kazini yaani UNAKUTA UNATONGOZWA NA DUME SHABABI KAMA KADODA11 ALAFU KUNA DEM ANAKUJA KUNIHARIBIA ILI ATONGOZWE YEYE!!!.
[emoji115] [emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji115] [emoji115]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kadoda11 napenda ulivo umbika,yaani nikiangalia tu kifuo chako nakuwa hoi bin taabani.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 

Attachments

  • 1481397265006.jpg
    60.1 KB · Views: 8
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/dbad3cbd306601212fb8e0b021da18bd.jpg[/IMG
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…