Faizafox anautesa moyo wangu jamani

Faizafox anautesa moyo wangu jamani

DUME SURUALI

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
782
Reaction score
1,084
Msione hivi mwenzenu kila siku silali namuwaza huyu bibie mrembo na kipenzi cha moyo wangu FAIZA FOX Y.
Tatzo mm ni domo zege na ninahofia sijui niingie na gia gani ya kumtongoza bibie maana sio wa mchezo mchezo useme eti atakukubalia tu harakaharaka muwe wapenzi.

Kwakweli nimeamua kubadili mpaka dini ili nimpate bibie kipenzi cha moyo wangu,najua itakuwa sio rahisi lakini nitajitahidi mpaka nimpate mrembo huyu asiye na maringo wala majivuno.

Faiza fox bebi wangu mtarajiwa,nakuomba unionee huruma mwenzio silali,sipati hata hamu ya kula yaani nikiona post yako tu jf ninachoka kabisa, Najua utakuwa umeshaolewa kitambo lakini PLEASE naomba ufanye juu chini ikiwezekana niwe hata mchepuko wako kwani ukinikatalia naweza hata nikanywa sumu jaman ..

Naomba na WANA JAMII FORUM wenzangu mnisaidie jamani kuniunganishia kwa huyu cha moyo wangu jamani nateseka mimi.
Akina Mshana jr na wengine naomba sana jamani niko seriously jamani naombeni mniokoe nisije nikanywa sumu bure na nyie mpo mnaoweza kuniunganishia kwa bebi wangu wa moyo faiza foxy

_dume suruali_
 
Hahahahahah alianza Saint Ivuga miaka ile leo kaja mdau hapa, ila kwa idadi ya posts za huyu mpya nahisi ni id nyingine ya Saint Ivuga.
 
Ni kweli kabisa unayosema ...nilishafungua id humu sema nilikinzana na bibie kidogo nikaona nifungue id nyingine.
SasA wewe kama huna hisia ni wewe ..na sio kosa kumtamkia hadharani mtu unayempenda ..peleka upumbavu wako hukoo
Huu upumbavu hutokea pale mtu anapokua hana shughuli ya kufanya,umejitahidi kujificha ila umeshajulikana.
 
Nasikia mvua inanyeesha Tanzania, kweli?
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji7] [emoji7] ...
ahsante mungu...naanza kuona matumaini sasa,bebi wangu mtarajiwa huyoo [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] nakupenda sana faiza foxy naomba uelewe hilo yaani huwezi amini lakini I'm seriously.
f5eb8421a9e20b1513837f11ad547cc7.jpg
 
Back
Top Bottom