Faizafox anautesa moyo wangu jamani

Faizafox anautesa moyo wangu jamani

Msione hivi mwenzenu kila siku silali namuwaza huyu bibie mrembo na kipenzi cha moyo wangu FAIZA FOX Y.
Tatzo mm ni domo zege na ninahofia sijui niingie na gia gani ya kumtongoza bibie maana sio wa mchezo mchezo useme eti atakukubalia tu harakaharaka muwe wapenzi.

Kwakweli nimeamua kubadili mpaka dini ili nimpate bibie kipenzi cha moyo wangu,najua itakuwa sio rahisi lakini nitajitahidi mpaka nimpate mrembo huyu asiye na maringo wala majivuno.

Faiza fox bebi wangu mtarajiwa,nakuomba unionee huruma mwenzio silali,sipati hata hamu ya kula yaani nikiona post yako tu jf ninachoka kabisa, Najua utakuwa umeshaolewa kitambo lakini PLEASE naomba ufanye juu chini ikiwezekana niwe hata mchepuko wako kwani ukinikatalia naweza hata nikanywa sumu jaman ..

Naomba na WANA JAMII FORUM wenzangu mnisaidie jamani kuniunganishia kwa huyu cha moyo wangu jamani nateseka mimi.
Akina Mshana jr na wengine naomba sana jamani niko seriously jamani naombeni mniokoe nisije nikanywa sumu bure na nyie mpo mnaoweza kuniunganishia kwa bebi wangu wa moyo faiza foxy

_dume suruali_
Yaani Wewe Una Namba D lakini unamjua Kindakindaki FF,Ebu Njoo na ID yako yenye Namba B.
 
KAMA WEWE UNAONA KU APPROACH SIO SHUGHULI YA KUFANYA NAOMBA KAA KIMYA ...tatzo wewe ni ga.y kama sikosei hivyo unaona wivu mimi kumpenda faiza
Upumbavu nacho ni kipaji,
Hongera sana,

Nilikuchokonoa ili ni prove tu kua wewe ndio yule niliyemfikiria kuanzisha hii ID mpya?
nashukuru kwa upumba.vu uliotunukiwa hukulitambua hilo na umeingia mtegoni kiulainiii.
 
Tunaompenda faiza tuko wengi sana ila wewe umejitokeza hadharani-hongera but mimi sio kimahaba,nampenda as my dada,nampenda mpaka wife anajua,pamoja na nifah ila huyu nifah YANGA imeongeza mapenzi yangu kwake,nawapenda sana hawa watu.
 
Upumbavu nacho ni kipaji,
Hongera sana,

Nilikuchokonoa ili ni prove tu kua wewe ndio yule niliyemfikiria kuanzisha hii ID mpya?
nashukuru kwa upumba.vu uliotunukiwa hukulitambua hilo na umeingia mtegoni kiulainiii.
Angalia bibie utajapigwa mido finger ...we endelea kumtamani dume suruali tu.
 
Nasikia huyo mubibi anaswaga za kichawi chawi mkuu

Nashauri upite kwanza kwa Mshana Jr akupe zindiko

Au ikishindikana kabsa tafuta wa umri wako tu, Scorpio me na Valentine wapo single

Ila usije mparamia Heaven Sent au Eviline maana utaambulia matusi tupu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31]
 
Back
Top Bottom