Faizafox anautesa moyo wangu jamani

Faizafox anautesa moyo wangu jamani

Yaani mkuu unampenda [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji3] [emoji3] huyu ndo FF mwenyewe sasa kazi kwako.
Sio huyo mkuu ...
HUYU HAPAA
24837fe3961d80333d0dd48c452bcf2d.jpg

Katika ubora wake
 
Unataka kuitwa Babu kwani? au kwani vijana wenzio huwaoni?


[HASHTAG]#freemacencemelo[/HASHTAG]
 
Unataka kuitwa Babu kwani? au kwani vijana wenzio huwaoni?


[HASHTAG]#freemacencemelo[/HASHTAG]
Vijana wenzangu wote wamenikimbia..nimeamua kuja kwa wazee labda watanipokea
 
Back
Top Bottom