Faizafoxy amewazidi akili, uelewa na ufahamu wanaume wote wa JF ndio maana hawampendi

Faizafoxy amewazidi akili, uelewa na ufahamu wanaume wote wa JF ndio maana hawampendi

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Mwanamama FaizaFoxy , NGULI na mtabobezi wa maswala ya mawasiliano ni tishio hapa jamvini ndio maana anaogopwa na kushambuliwa kila anapoandika.

Hamna wa kumshindia kwa hoja, iwe Ni kwenye siasa, uchumi, dini, teknolojia, social issues, na Kila kitu. Wanaume dhaifu humuona FaizaFoxy Ni kiumbe hatari kwao.

Tanzania tunahitaji wanawake aina ya FaizaFoxy ili nchi inyoke
 
Umekosea kidogo tu,kusema wanaume wanamuogopa na kumchukia. Hill sio kweli. Jukwaa hili ni la majadiliano,hoja unayoileta hapa itajadiliwa si kwa mtizamo unaofikiria wewe bali kwa hoja yenyewe, kwa hiyo tegemea positive and negative michango.

Nakuhahakikishia hakuna mwanaume anayemuogopa wala kumchukia dada faiza humu jamvini
Mwanamama FaizaFoxy , NGULI na mtabobezi wa maswala ya mawasiliano Ni tishio hapa jamvini ndio maana anaogopwa na kushambuliwa Kila anapoandika.
Hamna wa kumshindia kwa hoja, iwe Ni kwenye siasa, uchumi, dini, teknolojia, social issues, na Kila kitu.
Wanaume dhaifu humuona FaizaFoxy Ni kiumbe hatari kwao.
Tanzania tunahitaji wanawake aina ya FaizaFoxy ili nchi inyoke
[/QUOTE]
 
Nafikiri wanawake wote wametuzidi wanaume akili, uelewa na ufahamu, siyo yeye tu hata wewe, hata Samia Suluhu n.k. so tunajua ila ahsante kwa kukutukumbusha.
 
Je ni mwanamke kweli? Je yeye ndio smart woman pekee humu?
U smart wa mtu hatuupimi kwa kuangalia yale anayoyaandika kutoka kwenye vitu alivyofundishwa.
Tunapima smartness ya mtu kwa uwezo wake wa kufikiria mambo, kujenga hoja yenye mashiko kwenye mada nyepesi au nzito!
Kuna some girls sio waanzisha thread ila comments zao kwenye mada yoyote unajua kabisa there is gold and Diamonds upstairs..
Sio kuelezea vitu ulivyosoma
Kwani FaizaFoxy kasomea Nini?
 
Hapa ukipambana kuuangusha mfumo dume
Wanaume wepi?
 
kwa style hii, am doubting if inferiority kwenu dada zetu na wanetu wa kike kama itakuja kuisha?
inferiority ni hali ambayo mtu binafsi yeye mwenyewe anajiweka standards na vipimo kujipima na watu wengine, sio vile wengine wanavyomuona kiuhalisia.

Na dalili mojawapo ni hii hali ya kupenda "competition"..Huyu no bora kuliko yule..and blah blah blah zingine.
stop this.
maana huwez jua hata huyo FaizaFoxy ni mwanaume au mwanamke.
 
Mwanamama FaizaFoxy , NGULI na mtabobezi wa maswala ya mawasiliano Ni tishio hapa jamvini ndio maana anaogopwa na kushambuliwa Kila anapoandika.
Hamna wa kumshindia kwa hoja, iwe Ni kwenye siasa, uchumi, dini, teknolojia, social issues, na Kila kitu.
Wanaume dhaifu humuona FaizaFoxy Ni kiumbe hatari kwao.
Tanzania tunahitaji wanawake aina ya FaizaFoxy ili nchi inyoke
Amethibitisha mtume muhammad ni muongo aliposema [emoji116]
IMG_20190316_121451_900.jpeg
 
Bila mimba ungekuwa wapi wewe leo hii?
Simple answer
Nisinge exist ningekuwa bado sperm au wewe unayahusudu sana maisha pasi na kujua mbeleni utaliwa na funza utakuwa fossils fuels

Ila kwa mada hii kwamba ametuzidi uelewa na akili bora ungesema amenizidi Mimi mlevi ila ukisema wote umetumia vigezo gani kupima IQ ya mtu ambavo viko approved unless otherwise utakuwa umeandika kwa mihemuko au we ni attention seeker
 
Hapa ukipambana kuuangusha mfumo dume

Ohh yesss
 
Write your reply...we kweli ni boya unamtag moderator anipige ban 😂😂 sasa badala ya kunipiga ban sa atafuta huu Uzi wako uliojaa vichochezi vya ugomvi usio na kichwa wala miguu

halafu sita enjoy kusoma makombora na maneno utakayatupiwa maana utakuwa ushafutwa
 
Simple answer
Nisinge exist ningekuwa bado sperm au wewe unayahusudu sana maisha pasi na kujua mbeleni utaliwa na funza utakuwa fossils fuels

Ila kwa mada hii kwamba ametuzidi uelewa na akili bora ungesema amenizidi Mimi mlevi ila ukisema wote umetumia vigezo gani kupima IQ ya mtu ambavo viko approved unless otherwise utakuwa umeandika kwa mihemuko au we ni attention seeker
who is attention seeker? Me or you? Nina zaidi ya miaka 10 JF
Screenshot_20191128-084036~2.png
 
who is attention seeker? Me or you? Nina zaidi ya miaka 10 JF
View attachment 1274894
Si unaona huna hoja za msingi [emoji23][emoji23][emoji23]ukweli umekuchoma mpaka umeanza kuni search Mimi mgeni

Yaani pamoja na miaka yako kumi humu unayousemea nikajua basi utakuwa na content za msingi lakini hamna kitu embu jaribu kuwa kama hao wa miaka 10 wa humu at least jifunze kutoka kwao hao wko. Vzur upstairs hadi kwenye kujenga hoja we huna tofauti na Mimi mlevi niliejuunga juzijuzi ninaeandika ujinga sometimes [emoji23][emoji23]

Yaani hata wa mwaka Jana wanakuzidi ila hii point imenichekesha eti miaka 10
 
Ohh yesss
Sorry embu cheki hata haya majibu yako yaliofatana seriously hivi ndo nini sasa

Eti ""ooh yeess"

Yaani kama muigizaji wa porn "ohh yes .oh no oh my god "

Embu jibu kama mtu alieleta hoja japo ni ya kijinga ila jibu basi kwa hizi shudu unazoandika we utakuwa pacha angu [emoji23]
 
Back
Top Bottom