Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamama FaizaFoxy , NGULI na mtabobezi wa maswala ya mawasiliano ni tishio hapa jamvini ndio maana anaogopwa na kushambuliwa kila anapoandika.
Hamna wa kumshindia kwa hoja, iwe Ni kwenye siasa, uchumi, dini, teknolojia, social issues, na Kila kitu. Wanaume dhaifu humuona FaizaFoxy Ni kiumbe hatari kwao.
Tanzania tunahitaji wanawake aina ya FaizaFoxy ili nchi inyoke
utaimba sana nyimbo na mapambio lakini hiko kibibi hakiwezi kukurizisha kingono!Mwanamama FaizaFoxy , NGULI na mtabobezi wa maswala ya mawasiliano ni tishio hapa jamvini ndio maana anaogopwa na kushambuliwa kila anapoandika.
Hamna wa kumshindia kwa hoja, iwe Ni kwenye siasa, uchumi, dini, teknolojia, social issues, na Kila kitu. Wanaume dhaifu humuona FaizaFoxy Ni kiumbe hatari kwao.
Tanzania tunahitaji wanawake aina ya FaizaFoxy ili nchi inyoke
Wewe ndie uliyezidiwa akili na WanawakeNafikiri wanawake wote wametuzidi wanaume akili, uelewa na ufahamu, siyo yeye tu hata wewe, hata Samia Suluhu n.k. so tunajua ila ahsante kwa kukutukumbusha.
SawaWewe ndie uliyezidiwa akili na Wanawake
Usijeneraizi wanaume wote
Mwanamama FaizaFoxy , NGULI na mtabobezi wa maswala ya mawasiliano ni tishio hapa jamvini ndio maana anaogopwa na kushambuliwa kila anapoandika.
Hamna wa kumshindia kwa hoja, iwe Ni kwenye siasa, uchumi, dini, teknolojia, social issues, na Kila kitu. Wanaume dhaifu humuona FaizaFoxy Ni kiumbe hatari kwao.
Tanzania tunahitaji wanawake aina ya FaizaFoxy ili nchi inyoke
Aaaacha basi mkuuu what ni dume kweli 😢😢😢😱😱Faiza ni DUME
na tena anazo I'D mbili,mojawapo ni ile ya kuwatetea akina Sykes na kuuzia vitabu vya historian ya enzi za TAA
Unaweza kuwa una miaka 10 ya kujiuzawho is attention seeker? Me or you? Nina zaidi ya miaka 10 JF
View attachment 1274894
Ili wakafanye nini kwenye jukwaa la history?rAcha vituko; wanaume "WOTE" JF wanashindwa kwa hoja na FaizaFox? Wanahitajika kina FaizaFox wawili ili tumpate Mohammed Said mmoja.
Sio maneno yangu, ni kwa mujibu wa maandiko ya dini yake (Qur'an na Hadith).