Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ngoja nisubiri FaizaFoxy aje nione akiona hapo kwenye blue atafanyaje.Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Hivi njaa huko kwenu hakuna unapata wap mda mpaka ufungue uzi wa.kuhusu huy bibiFaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Wanawake hua hampendani,kasifiwa mwenzako umenza wivuAmekutuma??
Ni kweli huyu mama ni jembe lakini sio kuzidi wote..kuna mtu anaitwa kiranga huyu ni hatari sana.. au akina maxshimba..Jew..au kyoma au kichuguu..mkuu wa chuo n.k..kuna majembe yametulia
Jinsia yangu unaifahamu we WahedWanawake hua hampendani,kasifiwa mwenzako umenza wivu
Mjini tukikosa chips tunakula BurgerHivi njaa huko kwenu hakuna unapata wap mda mpaka ufungue uzi wa.kuhusu huy bibi
Kakuongopea pakubwa sanaFaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
mbona anajiita "harlot"?FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.