Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
 
Ngoja nisubiri FaizaFoxy aje nione akiona hapo kwenye blue atafanyaje.
Je atapotezea sababu umemsifia vya kutosha, au shughuli itakua ni ile ile ya shule mmeenda kusomea ujinga au
 
FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Hivi njaa huko kwenu hakuna unapata wap mda mpaka ufungue uzi wa.kuhusu huy bibi
 
Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake,hizo ni fikra zako mkuu wala wasikulaumu kila mtu na mtu we
 
FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Kakuongopea pakubwa sana
 
mbona anajiita "harlot"?
harlot ni shoka?
 
Bahati Mbaya kanyukwa Ban saa hizi.
Angekuja kutekeleza 'ukifimbo cheza' wake.
 
Back
Top Bottom