Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Naam, sina sifa ya kuolewa na wala siihitaji na sijawahi kuwa nayo na hautoikuta. Hiyo ni sifa ya kwenu huko msiojijuwa.

Usikute wewe umeolewa na sasa unatumia jina la mumeo, kwetu hakuna hiyo.

Kwetu tunaoana tu.
Huna akili tu
 
mm pia ningependa nimuone huyu kama kweli ni mwanamke

huyu kama kweli mwanamke basi aliyepost hii hoja hajamtendea haki

huyu yupo zaid ya hz sifa alizoandika hapa

mm nashaur apatikane mtu mwenye upeo zaid ili amuelezee vizur kwa kweli hujamtendea haki

Kwa kweli huyu namkubali zaid hivi ulivyo elezea hapa

kitu naomba anisaide nawezaje kupata taalifa kila unapoweka mada au kuchangia

Mana nisngependa kinipite chochote unachochangia humu

tafazar nisaidie hilo hz kejel za baaz ya watu zisikuvunje moyo kabisa

kuna wengi tunakukubar sana mm binasf nashindwa kukuelezea bila shaka nitakua sikutendei haki
 
Bujibuji aka @Gilesi katika ubora wake!
 
Taalifa[emoji724]

Taarifa[emoji736]
 
Acha kujikomba kwa Wanawake...Anajua nn uyo FaizaFoxy??? mbona mm simjui..?? ana hoja gani..?? una uhakika gani ana uwezo wa kuwazidi hoja wanaume..?? wanawake wana maneno mengi tyu na Majivuno....chukulia References kwa Trump na hillary ujionee....Halafu acha kupigia magot wanawakee....Wanaume Tutakudharauu
 
Huyo ni mwanamke mwenzie ndio maana ana msifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…