Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Ni kweli huyu mama ni jembe lakini sio kuzidi wote..kuna mtu anaitwa kiranga huyu ni hatari sana.. au akina maxshimba..Jew..au kyoma au kichuguu..mkuu wa chuo n.k..kuna majembe yametulia
Yaaah kiranga was the best member here

Hii ndio list yangu walionifanya nisikae mbali na JF na kila muda nisome wameandika nini.

1.Kiranga changeda sangala kadumbwa

2.Brother Nyani Ngabu.

3.Mwita25

4.Mentor

5.The Boss

6.Mzee Mwanakijiji

7.AshaDii

8 .Ntuzu

.9.MwlRCT

10.Chief Mkwawa

Japo baadae kuna member nikawa navutiwa nao sana akina Lara 1 ,The bold na Excel(kapotelea wapi)

Kwa kifupi Jamiiforums ya 2012 kurudi Nyuma ilikuwa Tamu sana

Halafu kuna huyu Faizafoxy naweza kusema ni great thinker tatizo 'udini', Ujuaji mwingi, kibri ,na unazi wake kwa magamba bila kufikiri unamfanya aonekane Wa kawaida .
 
Truee mkuu ff ujuaji mwingi
 
Back
Top Bottom