Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Hivi mama unashabikia young au simba ..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mama unashabikia young au simba ..?
Hivi mama unashabikia young au simba ..?
Hivi taasisi inaweza kuwa na jinsia? Unatuchanganya ama unasema uongo kama si uchonganishi.Ana Roho ya paka shume yule mwanamke
Which is which - ni ID ya watu zaidi 20?Faiza Foxy ni taasisi ya Bakwata....hiyo ID inatumiwa na more than 20 people
NAKUPENDA faiza fox, nataka uwe kipenz changu
NAKUPENDA faiza fox, nataka uwe kipenz changu
Vyote vinawezekana....Hivi taasisi inaweza kuwa na jinsia? Unatuchanganya ama unasema uongo kama si uchonganishi.
Which is which - ni ID ya watu zaidi 20?
Then hapo juu unasema ana "roho ya...."
Hivyo hivyo mrembo hata kama wanakuita Bibi nipo tayar kubugia ugoro na ww NIYOMBARE
Sitaki tudhini faiza nataka nikuweke ndani uwe bibi watoto wangu..1 WAKORINTHO 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Hata mimi namkubali sana,ila ujiandae hapo ulipoandika wakasarenda.FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Hata mimi namkubali sana,ila ujiandae hapo ulipoandika wakasarenda.
FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.