Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mmeshiba ugali naona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hata faizafoxy nae amefikia kiwango cha kutafutiwa kiki.FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Nibora ufe fukara kuliko kujidhalilisha kama ulivyofanya weweFaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Katumwa na huyo ndumila kuwiliUmeandka ktu gani ndugu?si ulale tu kuliko kupoteza chaji na MB bure! km umeishiwa cha kupost!!
Mkuu ndio hao hao wachumia tumboHivi njaa huko kwenu hakuna unapata wap mda mpaka ufungue uzi wa.kuhusu huy bibi
Wewe ni mkuu wa vilazaIkifika zamu ya kutaja Vilaza wajameni msinisahau Pohamba [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Wewe ni mkuu wa vilaza
Nakupenda mama yangu FaizaFoxy ,kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu nakupenda li-Llahi.Nilikwambia ungelikuwa mwanamke. Au Kiswahili kwako ni shida?
Si vyema kutumia lugha hizo kwenye halaiki ya watu, kuna watu na heshima zao humu wanapita.
Pia elewa kuwa jf kuna jukwaa maalum kwa lugha hizo na huko hata ukiweka picha yako ya utupu hakuna ataekuuliza.
Huwa namu admire sana.Umeandika ukweli mtupu Mkuu Buji buji. Madam Faizafox ni miongoni mwa great thinkers wachache sana waliopo JF
Wacheni sifa za kinafikiHuwa namu admire sana.
Wacheni sifa za kinafikiHuwa namu admire sana.
Ni wenzake wasiyo jitambua kama wale wanao lialia mbele ya media kisa kutetea kitumbua ndani ya ccmKumbe hata faizafoxy nae amefikia kiwango cha kutafutiwa kiki.
Sasa hivi upo huko ukwereni unapalilia mihogo1 WAKORINTHO 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Akuoe nani wewe?Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa, miaka zaidi ya 35 iliyopita.
Sana mkuufaiza ni kilaza tu ...
Na hafai kabisaMdini sana huyo Faiza Foxy
Mnafiki ni wewe pumbavu,niliku-quote?Wacheni sifa za kinafiki