Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Kumbe hata faizafoxy nae amefikia kiwango cha kutafutiwa kiki.
 
FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Nibora ufe fukara kuliko kujidhalilisha kama ulivyofanya wewe
 
Nilikwambia ungelikuwa mwanamke. Au Kiswahili kwako ni shida?

Si vyema kutumia lugha hizo kwenye halaiki ya watu, kuna watu na heshima zao humu wanapita.

Pia elewa kuwa jf kuna jukwaa maalum kwa lugha hizo na huko hata ukiweka picha yako ya utupu hakuna ataekuuliza.
Nakupenda mama yangu FaizaFoxy ,kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu nakupenda li-Llahi.
 
1 WAKORINTHO 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Sasa hivi upo huko ukwereni unapalilia mihogo
 
Kwamba huyu mwana mama ana uwezo wa kupangua hoja za wanaume 1000!!? Aisee

She's kinda smart lakini hiyo exaggeration hapo is outright nonsense.
 
Back
Top Bottom