Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia post #23 kwenye huu uzi hapa...mbona anajiita "harlot"?
harlot ni shoka?
TeeteteeehIkifika zamu ya kutaja Vilaza wajameni msinisahau Pohamba [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Typing error sio ujinga.Ataanza na ww mwenyewe kwa kusema hv ulienda shule kusomea ujinga tatatibu maana yake nn?
naomba referencembona anajiita "harlot"?
harlot ni shoka?
ulimkuna ?? Maana sio kwa kisifiana huku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
JF umejiunga lini? Legendary tunafahamiana, JF ni maisha yetuUmejuaje kama FaizaFoxy ni mwanamke kweli? Au kwa sbb ya hiyo avatar anayotumia?
[emoji2] [emoji2] umeamua kutafuta kick mkuu,,, muhimu kujikubali tuuIkifika zamu ya kutaja Vilaza wajameni msinisahau Pohamba [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hahahaha!! Kwa kweli maana kachapiaAtaanza na ww mwenyewe kwa kusema hv ulienda shule kusomea ujinga tatatibu maana yake nn?
Nimekudharau sanaFaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Ana Roho ya paka shume yule mwanamkeAnamapungufu yake kama mwanadamu lakn yuko vizuri, anapafu kubwa