FaizaFoxy, Raraa Reree, Depal na Nyani Ngabu ni watu ninaowakubali hapa JF

MoroGent

Senior Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
149
Reaction score
473
Salam sana Wakuu,

Moja ya watu nawakubali sana, ni hawa viumbe hapa jukwaani JF. Huezi amini huwa natamani siku Mungu anibariki nikutane nao uso kwa Macho huko mikoani au mataifa ya watu.

Nitafuruhi kama atajitokeza yeyote just kuwaelezea ni watu wa namna gani kimuonekano, kimtazamo na maisha yao kama uliwai kutana nao.

Nyani ngabu namkubali sana kwenye kusahihisha na kuweka mambo sawa kwenye nyuzi mbalimbali ukosoaji wake wa kipole na kuchallenge process.

Faiza alipocomment au kulike lazima ukutane na Raraa mitaa hiyo, napenda wanavoshambjlia nyuz pamoja.
Depal ni jina nalipenda tu bila sababu.
🤣🤣🤣

Uzi umeisha
 
Hivi una akili kweli, unawakubaliji watu usiwajua?
Kumbe kumkubali mtu ni mpaka umjue?, basi bado sana.

hii interaction ya ucheshi, mawazo yenye tija na hata soga za hapa na pale huishi ndani ya mioyo ya watu.

Ni sawa na nyimbo ya lugha usiyo ijua, waweza penda vibe, tone au hata sauti.
 
Salam sana Wakuu,

Moja ya watu nawakubali sana, ni hawa viumbe hapa jukwaani JF. Huezi amini huwa natamani siku Mungu anibariki nikutane nao uso kwa Macho huko mikoani au mataifa ya watu.

Nitafuruhi kama atajitokeza yeyote just kuwaelezea ni watu wa namna gani kimuonekano, kimtazamo na maisha yao kama uliwai kutana nao.

Nyani ngabu namkubali sana kwenye kusahihisha na kuweka mambo sawa kwenye nyuzi mbalimbali ukosoaji wake wa kipole na kuchallenge process.

Faiza alipocomment au kulike lazima ukutane na Raraa mitaa hiyo, napenda wanavoshambjlia nyuz pamoja.
Depal ni jina nalipenda tu bila sababu.
🤣🤣🤣

Uzi umeisha
Kwani Raraa Reree ipo wapi siku hizi?na mwona tu rafiki yake Mini mee
 
Salam sana Wakuu,

Moja ya watu nawakubali sana, ni hawa viumbe hapa jukwaani JF. Huezi amini huwa natamani siku Mungu anibariki nikutane nao uso kwa Macho huko mikoani au mataifa ya watu.

Nitafuruhi kama atajitokeza yeyote just kuwaelezea ni watu wa namna gani kimuonekano, kimtazamo na maisha yao kama uliwai kutana nao.

Nyani ngabu namkubali sana kwenye kusahihisha na kuweka mambo sawa kwenye nyuzi mbalimbali ukosoaji wake wa kipole na kuchallenge process.

Faiza alipocomment au kulike lazima ukutane na Raraa mitaa hiyo, napenda wanavoshambjlia nyuz pamoja.
Depal ni jina nalipenda tu bila sababu.
🤣🤣🤣

Uzi umeisha

Wazalie mtoto
Au wewe ni raraa kwa ID nyingine?
 
Back
Top Bottom