Mental health broHivi una akili kweli, unawakubaliji watu usiwajua?
Kumbe kumkubali mtu ni mpaka umjue?, basi bado sana.Hivi una akili kweli, unawakubaliji watu usiwajua?
imefanyaje?Mental health bro
Nahisi si kitu cha kawaida kuona member hamjui member mwingine halafu aseme anamkubaliimefanyaje?
Kwani Raraa Reree ipo wapi siku hizi?na mwona tu rafiki yake Mini meeSalam sana Wakuu,
Moja ya watu nawakubali sana, ni hawa viumbe hapa jukwaani JF. Huezi amini huwa natamani siku Mungu anibariki nikutane nao uso kwa Macho huko mikoani au mataifa ya watu.
Nitafuruhi kama atajitokeza yeyote just kuwaelezea ni watu wa namna gani kimuonekano, kimtazamo na maisha yao kama uliwai kutana nao.
Nyani ngabu namkubali sana kwenye kusahihisha na kuweka mambo sawa kwenye nyuzi mbalimbali ukosoaji wake wa kipole na kuchallenge process.
Faiza alipocomment au kulike lazima ukutane na Raraa mitaa hiyo, napenda wanavoshambjlia nyuz pamoja.
Depal ni jina nalipenda tu bila sababu.
🤣🤣🤣
Uzi umeisha
Salam sana Wakuu,

Nahisi si kitu cha kawaida kuona member hamjui member mwingine halafu aseme anamkubali
Labda angesema anakubaliana na mawazo yao kwenye nyuzi mbalimbali humu JF