FAIZAFOXY umenipa nini lakini?

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Asalaam Alaiykum,

Kipenzi, mtoto mzuri, sweetheart, Mrembo, Mvumilivu, Bibie FaizaFoxy toka siku ya kwanza tufahamiane mpaka tulipoachana alasiri ilee, nashindwa kukusahau wewe pamoja na vitendo vyako.

Zaidi ucheshi na utundu wako. Kwanini nashindwa kukusahau lakini?

Hii ni mara ya 3 nakuota tu wacha kukuwaza kwani imeshakuwa kero mpaka nimezoea.

Mbona sipati mwingine nimuwazae kama wewe mrembo?

Eti mshana jr, hii hali huwa inatokana na nini?

Damn!!! Why this cute lady?
 
Mkuu hebu muelezee Faiza anafananaje huyu mtu maana kila nikijaribu kumuimagine nashindwa kabisa.
 
Hili wimbi la vijana kupenda kutoka na bibi zao limeongezeka sana..
 
Mkuu hebu muelezee Faiza anafananaje huyu mtu maana kila nikijaribu kumuimagine nashindwa kabisa.
Ana macho mazuri yenye mvuto, figure usiseme na kuvaa kiheshima hijab lake na kufunika kichwa muda wote.

Sauti sasa daaaah....nikikumbuka akiniimbia na kutafsiri nyimbo za kihindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…