FaizaFoxy Vs Nyani Ngabu...nani mshindi

FaizaFoxy Vs Nyani Ngabu...nani mshindi

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
40,905
Reaction score
86,203
Kwakua ule mpamabno wa debate kati ya Kiranga na Mwita25..umeshindwa kufanyanyika
sasa naona Kuna Mpambano mwingine unaendelea kati ya mafahali wawili

huo si mwingine ni kati ya

FaizaFoxy Vs Nyani Ngabu...unaendelea katika ule uzi wa akina Kiranga na Mwita25

sasa Tabiri nani mshindi ujipatie zawadi ya X mass......

JF..Chit Chat
​
 
The capriciously mercurial NN will always be tops.



Hii thread imenifanya niwe really curious.... itabidi nitafute mda wa kutosha for thread ni ndefu.... And kama FF na NN ndo wametawala na woote ni Alter zangu.... I am going to have FUN.... GREAT FUN!
 
Kweli....


Faiza Foxy ni # 1 Celebrity wa JF (2011)

Long Love Faiza Foxy!​


kwa mwaka Huu FF hana Mpinzani ila katika hili la Debate..tusubiri mshindi
 
Naweza kukubaliana na wewe kwamba mwaka huu FF hana mpinzani kwa kumkashifu na kumzihaki Nyerere, hilo amefanikiwa​
.​

  • Sawa Sawa..ila tuache pambano liendelee
 
nimeacha faizafoxy ana haha jasho limemtoka..labda anaweza ambulia droo.​


Vipi hali yake si Nzuri kabisa huko...hahahahahaha...kazi anayo
 
Go NN, go NN

Yaani nimeenda kuosha na uso, popcorn na togwa mkononi.
He he he asiye na mwana ...
 
Go NN, go NN

Yaani nimeenda kuosha na uso, popcorn na togwa mkononi.
He he he asiye na mwana ...



Kongosho wakati nakusanya nguvu na kuagiza popcorns pia... Nipe update hasa what has happened, mie tu hapa kujua ni debate dhidi ya NN na FF yanitia mshawasha fro I know for a Fact haitakua boring....lol
 


Kongosho wakati nakusanya nguvu na kuagiza popcorns pia... Nipe update hasa what has happened, mie tu hapa kujua ni debate dhidi ya NN na FF yanitia mshawasha fro I know for a Fact haitakua boring....lol​


Huu mpambnoni ni zawadi ya X mass kwa wanaJF wote
 
Raha ya umbea kudandia basi kwa mbele na kibwebwe
Kuanguka na kupata majeraha suna!

Mie nimedandia tu
Inaonekana very interesting....
ila mpambano halisi ulikuwa kwenye ile sredu ya Mwita25 vs Kiranga
Kongosho wakati nakusanya nguvu na kuagiza popcorns pia... Nipe update hasa what has happened, mie tu hapa kujua ni debate dhidi ya NN na FF yanitia mshawasha fro I know for a Fact haitakua boring....lol
 
Back
Top Bottom