Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kwakua ule mpamabno wa debate kati ya Kiranga na Mwita25..umeshindwa kufanyanyika
sasa naona Kuna Mpambano mwingine unaendelea kati ya mafahali wawili
huo si mwingine ni kati ya
FaizaFoxy Vs Nyani Ngabu...unaendelea katika ule uzi wa akina Kiranga na Mwita25
sasa Tabiri nani mshindi ujipatie zawadi ya X mass......
JF..Chit Chat​