Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
The capriciously mercurial NN will always be tops.
Kweli....
Faiza Foxy ni # 1 Celebrity wa JF (2011)
Long Love Faiza Foxy!
Naweza kukubaliana na wewe kwamba mwaka huu FF hana mpinzani kwa kumkashifu na kumzihaki Nyerere, hilo amefanikiwa.kwa mwaka Huu FF hana Mpinzani ila katika hili la Debate..tusubiri mshindi
Naweza kukubaliana na wewe kwamba mwaka huu FF hana mpinzani kwa kumkashifu na kumzihaki Nyerere, hilo amefanikiwa
nimeacha faizafoxy ana haha jasho limemtoka..labda anaweza ambulia droo.
Kwani haya ni mashindano ya nini?
Go NN, go NN
Yaani nimeenda kuosha na uso, popcorn na togwa mkononi.
He he he asiye na mwana ...
Kongosho wakati nakusanya nguvu na kuagiza popcorns pia... Nipe update hasa what has happened, mie tu hapa kujua ni debate dhidi ya NN na FF yanitia mshawasha fro I know for a Fact haitakua boring....lol