Deodat
JF-Expert Member
- Sep 18, 2008
- 1,274
- 274
Jamani mie sikubali kuchaguliwa upande wa kushabikia
mie huchagua wa kushabikia kutokana na uhendisamu au ubutifu wa wachezaji
naweza wageuka timu yangu
Nimekusoma, ni kweli baadhi ya wala vumbi wanatamani sana kuja huku kujiunga nasi kwenye kubeba boksi hivyo wangependa pia kuwa upande wetu kwenye hii mada, pia kuna wale wenye mapenzi binafsi kwa wabeba box, naamanisha kuna watu wanamzimia tu NN na wengineo, kama ni hivyo basi, wala vumbi mnaodhani kubeba box ni heri kuliko kula vumbi mko huru kutuunga mkono na vivyo hivyo wabeba box mnaodhani vumbi ni heri.....mko huru kuwa-'sapoti'.